Timu yetu ya wabobezi wa afya ya watoto, wataalamu wa lishe, na wataalamu wa ukuaji na maendeleo ya watoto imejitolea kutoa taarifa sahihi na huduma za ushauri binafsi ili kuhakikisha mtoto wako anakua katika afya njema na furaha. Kuanzia matunzo ya mtoto mchanga hadi afya ya vijana balehe, tuko hapa kukuhudumia. Jiunge nasi WhatsApp namba +255 765 417 067.
Mpango huu uko chini ya Chama cha Wauguzi Bingwa wa Watoto cha Tanzania (Tanzania Society of Pediatric Nurses), ukiwa na lengo la kusaidia Tanzania kwa kutoa taarifa na huduma za kihushauri bure.
Post Comment